1/6
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 0
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 1
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 2
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 3
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 4
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 5
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) Icon

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Tanzania Tech Media
Trustable Ranking IconPouzdano
1K+Preuzimanja
10MBVeličina
Android Version Icon4.1.x+
Android verzija
2.0(26-02-2021)Najnovija verzija
-
(0 Prikazi)
Age ratingPEGI-3
Kako se instalira
1
Preuzmite i otvorite instalacionu datoteku
2
Unblock AptoideAptoide is a safe app! Just tap on More details and then on Install anyway.
3
Dovr[ite instalaciju i otvorite platformu Aptoide.
app-card-icon
DetaljiPrikaziVerzijeИнфо
1/6

Opis aplikacije Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Kupata habari imekuwa ni rahisi sana siku hizi, hii inatokana na kuwepo kwa vyanzo vingi vya habari kiasi kwamba ni lazima utaweza kupata habari kupitia vyanzo hivyo. Lakini wote tunajua ni ngumu sana kupata habari kwa ukamilifu kwa kuwa haiwezekani kutembelea tovuti zote hizo kwa pamoja ndio maana tunakuletea App ya Gazeti.


Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti ya leo pamoja na habari mbalimbali kwa urahisi kutoka tovuti mbalimbali bila Matangazo, Mbali na tovuti app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusikiliza radio pamoja na idhaa za kiswahili kutoka nchi mbalimbali.


Gazeti App pia inakupa urahisi wa kuangalia TV mbalimbali za hapa nchini Tanzania na nje ya nchi, kifupi ni kwamba Gazeti App inakupa habari zote za Ndani ya Tanzania kwa haraka na kwa urahisi na bila kuwepo kwa Matangazo. Tunategemea kuongeza vyanzo vingine mbalimbali hivyo hakikisha unapakua app ya Gazeti sasa.


* Unaweza kusoma Habari Kutoka Tovuti kubwa za Habari Tanzania.

* Unaweza Kuangalia Mbalimbali Habari Kutoka Vyanzo vikubwa vya Habari Tanzania.

* Unaweza kusikiliza Radio na kuangalia TV za ndani na nje ya Tanzania.

* Na mengine mengi.....


Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) - Verzija 2.0

(26-02-2021)
Druge verzije
Šta je novoSehemu Mpya ya Habari Video * Global TV YouTube * Ayo TV YouTube * Wasafi Media YouTube * Bongo 5 YouTube * Azam TV YouTube * MCL Digital YouTube * ITV Tanzania YouTube * TBC Online YouTube * EATV YouTubeSehemu Mpya ya Social Media * Sehemu hii inakuja na vyanzo mbalimbali vya habari kutoka kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na InstagramMaboresho ya MuonekanoMaboresho ya Sehemu ya Michezo Tumeongeza AZAM TVSehemu Mpya ya Jinsi ya Kutumia

Trenutno nema komentara ili ocena! Da biste ostavili prvi komentar ili ocenu,

-
0 Reviews
5
4
3
2
1
Info Trust Icon
Garantovano dobra aplikacijaOva aplikacija je prošla bezbednosni test za viruse, zlonamerne programe i druge zlonamerne napade i ne sadrži nikakve pretnje.

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) - Informacije o APK datoteci

Verzija APK datoteke: 2.0Paket: com.gazeti.digitalwebbased
Kompatibilnost sa Android sistemom: 4.1.x+ (Jelly Bean)
Programer:Tanzania Tech MediaSmernice za privatnost:https://tanzaniatech.one/privacy-policy.htmlDozvole:28
Naziv: Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)Veličina: 10 MBPreuzimanja: 68Verzija : 2.0Datum objavljivanja: 2021-02-26 13:33:53Najmanji ekran: SMALLPodržana CPJ:
ID paketa: com.gazeti.digitalwebbasedSHA1 potpis: 1F:F6:91:BF:92:D5:19:E3:56:43:01:04:4C:87:65:62:EA:58:DD:66Programer (CN): AndroidOrganizacija (O): Google Inc.Lokacija (L): Mountain ViewZemlja (C): USDržava/grad (ST): California

Poslednja verzija aplikacije Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

2.0Trust Icon Versions
26/2/2021
68 preuzimanja10 MB Veličina

Druge verzije

1.6Trust Icon Versions
22/5/2020
68 preuzimanja8.5 MB Veličina
1.5Trust Icon Versions
11/5/2020
68 preuzimanja8.5 MB Veličina
1.4Trust Icon Versions
9/2/2020
68 preuzimanja7.5 MB Veličina

Aplikacije u istoj kategoriji

Možda će vam se takođe dopasti i...